MWEMA
Aka ka fine morning
Kwako najileta
Nisamehe leo sita-kneel
Sio kwa kiburi lakini ni bruises kwa knees ndio mob
Sijakataa mimi ni mtenda dhambi
Ndio maana nakuja nikihimble
Is it true ulituma Jesus anifie ?
Abebe dhambi zangu pale Golgotha ?
na through yeye second chance ukatuwai?
Through yeye tuko na assurance of eternity
Kama ni ivo basi sitaacha kusema uhimidiwe
Nani kama weww umani-protect bila kuitisha za end month
Love yako nayo umeiweka world wide
Kila mtu ako na access hata bila ku-connect na WI-FI
Umenipea oxygen ya bure
Si ka human wananiuzia adi LPG
Miracle zako ziko hadharani
Na Wewe ni nnani umezidirect kwa life yangu
Ndio maana nasema umekua mwema kwangu na siwezi iishi bila wewe
@collince
💪💪
ReplyDelete