ASANTY GOD
God hapa penye umenifikisha
Nasema tu Shukran
Kwani mob battles through umenisee
Niseme si kwa ujanja
Lakini umenifanya mjanja kuepukana na mamblaina,
Watu wamejaa hate na misfortune umewakeep mbali na yangu life
Asanty umeprotect yangu soul, na kunipea peace kwa hii soil
Ndio maana kila morning kwa knees nitago ili niwe close nawe Nissi
Umenilead kwa pastures green.
Thats why na yako word always nitaAgree
Nikiplead for yours mercy,
Blessings na ata Guidance
God naomba patience
Nizidi kusonga na yako pace
Juu venye nakuwa ndivo mob naFace
Asanty God haujaniacha ni-learn from experience
Lakini umenipea ability ya ku-learn zako wise ways
ASANTY GOD
@Collince
Comments
Post a Comment