ASANTY GOD
God hapa penye umenifikisha Nasema tu Shukran Kwani mob battles through umenisee Niseme si kwa ujanja Lakini umenifanya mjanja kuepukana na mamblaina, Watu wamejaa hate na misfortune umewakeep mbali na yangu life Asanty umeprotect yangu soul, na kunipea peace kwa hii soil Ndio maana kila morning kwa knees nitago ili niwe close nawe Nissi Umenilead kwa pastures green. Thats why na yako word always nitaAgree Nikiplead for yours mercy, Blessings na ata Guidance God naomba patience Nizidi kusonga na yako pace Juu venye nakuwa ndivo mob naFace Asanty God haujaniacha ni-learn from experience Lakini umenipea ability ya ku-learn zako wise ways ASANTY GOD @Collince